1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 01.07.2021

SK2 / S02S1 Julai 2021

Bajeti mpya ya serikali nchini Tanzania imeanza kutumika leo/Mjumbe maalumu wa Umoja wa Afrika anayehusika na upatikanaji wa chanjo ya Covid-19 ameikosoa vikali Ulaya/Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema wanawake ndiyo wameathirika zaidi na janga la virusi vya corona/Makaburi mengine ya halaiki yagunduliwa Canada/ Burundi yaadhimisha mwaka wa 59 tangu kupata uhuru wake/

https://p.dw.com/p/3vu3d