Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki) | Media Center | DW | 18.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

Umoja wa Ulaya na Urusi zasifu maendeleo ya mkataba wa nyuklia//Libya yapongeza uamuzi wa UN kupeleka wachunguzi nchini humo//Idadi ya vifo vya Covid-19 duniani yazidi milioni tatu//Biden asema hali ya Navalny ni mbaya na isiyofaa//Ujerumani yatakiwa kuwapa hifadhi raia wa Afghanistan waliolisaidia jeshi

Sikiliza sauti 51:59