Bunge la Marekani lapiga kura ya kupeleka madai ya kuondolewa Trump madarakani katika seneti//Karibu watu kumi na tano wafariki dunia kufuatia shambulizi huko Idlib nchini Syria//Na Waziri wa nchi za kigeni wa Iran akiri kuwa Wairan walihadaiwa awali kuhusiana na ndege iliyodunguliwa