Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na mpinzani wake washindwa kupata idadi ya kutosha ya wabunge kuunda serikali//Meli ya uokoaji ya "Ocean Viking" yawaokoa watu 109 waliokwama baharini Libya//Na Borussia Dortmund wakosa fursa ya kuifunga Barcelona huku RB Leipzig ikipata ushindi katika Champions League.