1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

8 Agosti 2019

Rais wa Marekani Donald Trump apokelewa na maandamano huko Dayton, Ohio//Rais wa Venezuela asitisha mazungumzo na upinzani kutokana na vikwazo vya Marekani//Na Uturuki na Marekani wakubaliana kubuni eneo salama kaskazini mwa Syria.

https://p.dw.com/p/3NXNw