1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

5 Agosti 2019

Rais Reccep Tayyip Erdogan wa Uturuki atangaza operesheni ya kijeshi kaskazini mwa Syria//Rais wa Marekani Donald Trump atuma rambirambi kwa familia za waliouwawa na mtu aliyejihami kwa bunduki Marekani//Na Watu kumi na saba wafariki dunia mjini Cairo kufuatia mripuko katikati mwa mji huo mkuu.

https://p.dw.com/p/3NLRx