1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi Juni 25, 2022

TSA / S08S25 Juni 2022

Mkutano wa wakuu wa nchi na serikali za Jumuiya ya Madola umeingia siku yake ya pili hii leo mjini Kigali, nchini Rwanda. Kansela Olaf Scholz kuwakaribisha viongozi wakuu wa nchi tajiri kabisa kiviwanda duniani za kundi la G7 katika mkutano wa kilele wa mwaka huu. Nchini Ukraine, wanajeshi wa Urusi waliokamatwa vitani wanashikiliwa kwenye magereza.

https://p.dw.com/p/4DE5X