1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 30.12.2020

TSA / S08S30 Desemba 2020

Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi wa Zanzibar kujiandaa kisaikolojia na kuvumilia hatua kali atakazozichukuwa kupambana na ubadhirifu udhalilishaji wa watoto, na ulaji rushwa// Uingereza inawaonya wafanyabishara kuhusu kipindi cha msukosuko wa mpito baada ya kupatikana mkataba wa kibiashara wa baada ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/3nME9