1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 30.06.2022

TSA / S08S30 Juni 2022

Mkutano wa NATO wakamilika mjini Madrid./ DRC: Mabaki ya jino la Patrice Emery Lumumba yazikwa/ Tanzania: Mkutano mkuu wa PALU,wafanyika jijini Arusha/ Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Kenya wanakabiliwa na taarifa potofu za kisiasa/ Rwanda, wakimbizi wasubiri maombi ya vibali vyao yafanyiwe kazi.

https://p.dw.com/p/4DSF6