1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 29.12.2018

Sylvia Mwehozi
29 Desemba 2018

Uchaguzi wa DR Congo kufanyika kesho Jumapili, je mashirika ya kiraia yanasemaje? Je, wewe huwa unajihisije unapokutana na wanajeshi ama askari polisi waliobeba silaha za kivita mitaani? Ziara ya kushtukiza nchini Iraq ya Rais Donald Trump wa Marekani huenda ikawa imewanyamazisha kidogo wakosoaji wake.

https://p.dw.com/p/3AkqF