1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 25.01.2020

TSA / S08S25 Januari 2020

Serikali ya Tanzania yasaini makubaliano na kampuni ya madini ya Barrick. Nzige waendelea kuvamia maeneo makubwa ya Afrika, je! hii ni athari nyingine ya mabadiliko ya hali ya hewa? Na nchini Kenya punda wako katika hatari ya kuangamia.

https://p.dw.com/p/3WnTu