Matangazo ya asubuhi 21.10.20 | Media Center | DW | 21.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya asubuhi 21.10.20

Baadhi ya wanasiasa Tanzania wamewataka viongozi wa dini kuhubiri haki, amani na utulivu na sio kuwaombea kura wagombea. Je, hisia za Wamarekani zikoje kuelekea uchaguzi mkuu wa Novemba. Na wakimbizi wanawake wanasema ukatili dhidi yao umeongezeka kutokana na janga la maambukizi ya Corona katika nchi za Afrika.

Sikiliza sauti 51:59