1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 19.05.2022

TSA / S08S19 Mei 2022

Kundi la kigaidi lijiitalo Dola la Kiislamu linasema lajiimarisha na kuendeleza mapambano yake dhidi ya maadui zake/ Kenya: Uhaba wa mvua umesababisha kiwango cha maziwa kupungua sokoni/ Ajira ya watoto imeongezeka barani Afrika/ Syria: Msiba mwengine mzito baada ya mkanda wa video kusambaa/ Takribani watu milioni tisa hufa kila mwaka duniani kote kutokana na uchafuzi wa mazingira

https://p.dw.com/p/4BVKV