1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 17:10:2021

17 Oktoba 2021

Sikiliza makala kemkem, ikiwa ni pamoja na makala ya mtu na mazingira inayoangazia Kwa mara ya kwanza katika historia, Kenya imezindua tamasha la kuwapa tembo majina katika mbuga ya Amboseli ili kuwahifadhi.Mbuga ya Amboseli ndio makao ya tembo wanaoishi kwenye makundi ya familia.

https://p.dw.com/p/41mPH