1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 15.04.2020

TSA / S08S15 Aprili 2020

Mataifa kadhaa Ulaya yalegeza vizuizi vya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona/Wanaharakati wa mashirika ya kutetea haki za watoto Mkoani Mtwara, Tanzania wameishauri serikali kuwachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi ambao wanawapa biashara watoto wao /Na Serikali mbalimbali duniani zimeweka matumaini yao katika teknolojia, katika vita dhidi ya janga la virusi vya Corona.

https://p.dw.com/p/3auzj