1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 14:08:2022

14 Agosti 2022

Katika makala ya Mtu na Mazingira tunaangazia mfumo maalum unaolenga kuliokoa ziwa Victoria kupitia udhibiti wa raslimali za maji kutoka sehemu za makaazi ili kuhakikisha mazingira safi na salama kwa raia. Pia tumekuandalia makala ya Utamaduni na Sanaa, Sura ya Ujerumani na Je Umeipata hiyo.

https://p.dw.com/p/4FVYt