1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi: 13:06:2021

13 Juni 2021

Makala ya mtu na mazingira hii leo inaangazia mapambano dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa yanayoendelea kila mahali duniani. Viongozi, wadau wa mazingira na hata wabunifu wanaendelea kubuni njia mbadala za kuokoa mazingira na kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi na kuendeleza vizazi. Tanzania ikiwa ni miongoni mwa nchi inayochukua hatua za haraka.

https://p.dw.com/p/3uonN