Sudan Kusini inatimiza miaka 10 tangu ilipopata uhuru/ Zaidi ya wasichana mia tano huondoka Uganda kila siku kwenda kufanya kazi za nyumbani katika mataifa ya Mashariki ya Kati/ Gharama ya maisha inaendelea kuwazonga raia nchini Kenya/ Kumbukumbu ya miaka 20 tangu shambulizi la Septemba 11 yakaribia/ Madai ya mateso nchini Belarus na Syria