1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 04.08.2021

TSA / S08S4 Agosti 2021

Mwaka mmoja umetimia tangu kutokea mripuko mkubwa kwenye bandari ya Beirut nchini Lebanon/ Changamoto za kiuchumi nchini Tunisia/ Watu wenye misimamo mikali watadhibiti sehemu zote za serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran/Takriban wasichana 70 kutoka Uganda wametorokea Kenya kuepuka kufanyiwa ukeketaji/ Patience Dositha alikuwa na miezi mitatu alipofiwa na wazazi

https://p.dw.com/p/3yWmb