1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 01:10:2022

1 Oktoba 2022

Nchini Brazil wapiga kura wataelekea vituoni kupiga kura jumapili katika uchaguzi wa rais//Mawaziri wa mazingira wa takriban nchi 50 watakusanyika siku ya Jumatatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa mazungumzo ya kuandaa Mkutano wa hali ya hewa wa COP27.

https://p.dw.com/p/4HcMz