1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 01 Aprili 2020

Mohammed Khelef
1 Aprili 2020

Human Rights Watch: Serikali ya Burundi inawaweka raia wake katika hatari ya kifo kwa kuzuia uhuru wa kutoa taarifa sahihi kuhusu gonjwa la COVID -19/ Nigeria: Watu zaidi ya milioni 20 katika miji ya Lagos na Abuja wamewekwa kwenye karantini / Jopo kazi la mchakato wa maridhiano nchini Kenya, BBI, limeifunga milango ya kupokea maoni ya wananchi.

https://p.dw.com/p/3aHM7