1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maswaibu yanayowakuta watu wenye ulemavu wa kusikia Zanzibar

Salma Said8 Agosti 2018

Pamoja na mikataba mbali mbali ya kimataifa inayotambua haki za binaadamu na usawa kwa watu wenye ulemavu bado kuna vikwazo vingi vya kupatikana kwa haki kadhaa za watu wenye ulemavu hapa Zanzibar.Salma Said anaelezea baadhi ya vikwazo hiyo katika makala ya Mbiu ya Mnyonge.

https://p.dw.com/p/32nvL