1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashirika ya kiraia DRC yazungumzia maandalizi ya uchaguzi?

Bruce Amani Alakonya20 Desemba 2018

Je wadau mbalimbali wanazungumziaje uwezekano wa uchaguzi kuahirishwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo? Bruce Amani amezungumza na mkuu wa mashirika ya kiraia mashariki mwa nchi hiyo Bwana Mustafa Muita na kwanza alimuuliza kama hatua hiyo ya kusogezwa mbele uchaguzi inafaa au la. Sikiliza zaidi hapa.

https://p.dw.com/p/3AS1u