Mashariki mwa Kongo:Warranti yatolewa na ICC kumkamata Ntaganda
15 Mei 2012Matangazo
Hiyo ni waranti ya pili kutolewa na ICC kwa ajili ya kumkamata jenerali Bosco Ntaganda. Nini hasa kinatakiwa kufanywa ili wababe hao wa kivita washikwe?
Jibu lipo kutoka kwa mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka Goma, mashariki mwa Kongo.
(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Othman Miraji