Mashambulizi ya waasi yauwa watu 8 DRC | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mashambulizi ya waasi yauwa watu 8 DRC

Watu wanane wakiwemo askari 6 wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameuawa mwishoni mwa juma katika mashambulizi ya makundi 3 yenye silaha dhidi ya ngome za jeshi la Congo katika kijiji cha Tuwe-Tuwe wilayani Mwenga. Jeshi la nchi hiyo limesema watu 9 wamejeruhiwa vibaya. Sikiliza ripoti ya Mitima Delachance.

Sikiliza sauti 02:30