1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashaka yanayokumba ubanikaji samaki Ivory Coast

11 Juni 2021

Raia wa Ivory Coast hupenda samaki walobanikwa kutumia moshi. Lakini mchakato huo una hatari mbaya za kiafya kwa wanawake wanaohusika. Zaidi ya hayo wauzaji samaki pia wanakabiliwa na tatizo la maeneo ya uvuvi kuvamiwa na wachimba mchanga katika mji wa Abidjan, hivyo kuwapunguzia riziki.

https://p.dw.com/p/3ulYj