Mashabiki wa klabu ya Chapecoense waomboleza | Media Center | DW | 30.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mashabiki wa klabu ya Chapecoense waomboleza

Mashabiki wa klabu ya Chapecoense ya nchini Brazil wakusanyika kwa maombolezo. Raia wa Cuba wanaomboleza kifo cha kiongozi wao Fidel Castro. Na Bunge la Korea Kusini linatarajiwa kupiga kura ya kumshitaki rais wa nchi hiyo Park Geun-hye. Papo kwa Papo 30.11.2016

Tazama vidio 01:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)