Mapigano yaendelea Mashariki mwa Congo | Matukio ya Afrika | DW | 18.05.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Mapigano yaendelea Mashariki mwa Congo

Mapigano makali yamezuka baina ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na waasi wa M23, katika wilaya ya Rutsuru nchini humo.

Waasi nchini Congo

Waasi nchini Congo

Vita vilivyozuka baina ya jeshi la Kongo na waasi yapita wiki tatu sasa, vimesababisha raia zaidi ya 30,000 kukimbilia usalama katika nchi jirani za Rwanda na Uganda.

Kusikiliza ripoti ya John Kanyunyu, mwandishi wetu wa mashariki mwa Congo, bonyeza alama ya spika za masikioni

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada