1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan

25 Juni 2021

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekamilisha siku 100 tangu alipoingia madarakani. Katika kipindi cha Maoni leo Grace Kabogo amezungumza na Betty Masanja Mchambuzi wa masuala ya Jamii, Sheria na Uchumi; Said Nguba, Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na habari, Dokta Ananilea Nkya, Mwanaharakati wa haki za wanawake; pamoja na Said Msonga Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na diplomasia.

https://p.dw.com/p/3vZSq