1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Ongezeko la bei ya mafuta na athari yake kwa uchumi wa dunia

22 Oktoba 2021

Bei ya mafuta imepanda kote ulimwenguni jambo ambalo limesababisha bei za bidhaa nyengine muhimu kupanda pia na kuongeza gharama za maisha. Bei za gesi na maka ya mawe pia zimepanda na kufikia viwango vipya vya kuvunja rekodi. Josephat Charo analiangazia suala hili katika maoni mbele ya meza ya mduara leo.

https://p.dw.com/p/4246I