Mamilioni yagharimia masomo ziada kwa wanafunzi Ujerumani | Masuala ya Jamii | DW | 18.01.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mamilioni yagharimia masomo ziada kwa wanafunzi Ujerumani

Hofu na wasiwasi, watoto wao wasije wakashindwa kufanya vizuri katika mitihani ya kumaliza masomo shuleni huwafanya wazee wengi watoe mamilioni ya fedha kuwalipa walimu wanaotoa mafunzo ya ziada majumbani.

default

Kijana wa miaka 16 anapatiwa msaada kuweza kufanya vyema shuleni

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com