Malaria – Kipindi 6 – Lawama16.03.201116 Machi 2011Katika kipindi hiki, Daktari Munga anajaribu kuokoa maisha ya mgonjwa. Tunapoteza maisha zaidi kutokana na malaria. Hali ya watu kutotafuta matibabu katika wakati muafaka imechangia kufanya hali kuwa ngumu zaidi.https://p.dw.com/p/QoleMatangazo