Makonda agoma kuomba radhi kwa wahariri | Matukio ya Afrika | DW | 09.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

kuvamia clouds media

Makonda agoma kuomba radhi kwa wahariri

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeondoa marufuku ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Hata hivyo, Makonda amesema hatakaa aombe msamaha kwa wanahabari.

Sikiliza sauti 03:09
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Sikiliza mahojiano na Neville Meena

Kufahamu undani wa jambo hilo, DW imezungumza na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri, Neville Meena.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada