Makazi ya kutunza wanyama wazee Ujerumani | Media Center | DW | 21.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Makazi ya kutunza wanyama wazee Ujerumani

Bila shaka umeshawahi kusikia kuhusu makazi maalumu wanakotunzwa wazee lakini safari hii kutoka kaskazini mwa Ujerumani utafahamu kuhusu makazi maalumu yaliyoanzishwa kwa ajili ya kuwatunza wanyama wazee, hasa ng'ombe! Kurunzi Ujerumani 21.10.2021

Tazama vidio 02:03