Makamo wa Rais Ruto alazimika kuhudhuria vikao vyote vya ICC | Matukio ya Afrika | DW | 25.10.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Makamo wa Rais Ruto alazimika kuhudhuria vikao vyote vya ICC

Mahakama ya ICC iliyoko The Hague imebatilisha uamuzi wake wa awali ambao ulikuwa unamruhusu makamo wa rais wa Kenya William Ruto kutohudhuria vikao kadhaa vya kesi dhidi yake baada ya mwendesha mashitaka kukata rufaa.

Makamo wa Rais William Ruto akiwa kwenye mahakama ya ICC

Makamo wa Rais William Ruto akiwa kwenye mahakama ya ICC

Sasa itamlazimu Ruto kuhudhuria vikao vyote vya kusikizwa kwa kesi yake isipokuwa tu, katika mazingira yasiyokuwa na budi yatakayoamuliwa na majaji wanaosikiza kesi hiyo.Caro Robi amezungumza na mchambuzi wa masuala ya sheria za kimataifa Agina Ojwang na kwanza alitaka kujua uamuzi huo una maanisha nini katika kesi dhidi ya makamo huyo wa rais wa Kenya? Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Caro Robi

Mhariri: Saumu Yusuf

Sauti na Vidio Kuhusu Mada