1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Wanawake na Maendeleo

13 Julai 2022

Leo tunaangazia mchango wa mwanamke katika kuleta amani, usalama na utulivu ulimwenguni. Ushiriki wa wanawake katika uongozi ni njia bora ya kujenga demokrasia endelevu. Juhudi zinafanyika katika kutoa elimu kwenye jamii ili itambue umuhimu wa mwanamke katika uongozi japo bado kuna baadhi ya mataifa yenye mfumo dume. Mtayarishaji wa Makala hii ni Neema Misheki.

https://p.dw.com/p/4E3wg