1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Utamaduni na Sanaa

Amina Mjahid
10 Oktoba 2019

Tamasha ya fasihi ya makonda iliyoandaliwa mjini Nairobi nchini Kenya, iliwaleta pamoja waandishi wa vitabu kutoka pembe mbalimbali za Afrika je kipi kilichozungumzwa huko? Sikiliza katika Makala hii ya utamaduni na Sanaa na Shisia Wasilwa

https://p.dw.com/p/3R2oX