1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Sema Uvume

Hawa Bihoga4 Mei 2022

Katika Makala ya Sema Uvume, tunaangazia teknolojia ya huduma ya usafiri bila dereva. Kampuni ya usafirishaji abiria ya Waymo na Cruiser zimeshafanya majaribio ya kutoa huduma ya usafiri bila kuwa na dereva, teknolojia hii imepokelewa na wengi huku ikivuka matarajio yao. Makala hii imetayarishwa na Hawa Bihoga.

https://p.dw.com/p/4Aofo