1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

Sylvia Mwehozi18 Desemba 2020

Afrika wiki hii inamulika yafuatayo : Gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko afutwa kazi. Rais Yoweri Museveni amteua tena mtoto wake kuwa kamanda wa kikosi maalum cha ulinzi wa rais yaibua mjadala mkubwa. Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi aapa kukabiliana na wapiganaji wa itikadi kali na Nigeria wanafunzi zaidi ya 300 waliotekwa nyara waokolewa na vikosi vya usalama. Aliyeandaa ni Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3mvfN