1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

Saumu Mwasimba
1 Machi 2024

Miongoni mwa yaliyomo katika Afrika Wiki hii-Tanzania yaomboleza kifo cha rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi aliyefariki akiwa na umri wa miaka 98. Wasiwasi watanda wiki hii huko Chad kufuatia machafuko ya kisiasa na kuuwawa kwa kiongozi wa Upinzani. Ujumbe wa Monusco waanza kufunganya virago kuondoka Mashariki mwa Kongo.Jiunge na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4d5RZ