Majukumu ya kaunti ya nairobi yahamishiwa serikali kuu | Media Center | DW | 26.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Majukumu ya kaunti ya nairobi yahamishiwa serikali kuu

Majukumu muhimu ya serikali ya kaunti ya Nairobi yamekabidhiwa kwa serikali kuu ya Kenya, kufuatia makubaliano yaliosainiwa na Gavana wa Nairobi Mike Soko na Waziri wa Ugatuzi Eugene Wamalwa. Kwa makubaliano hayo majukumu manne kati ya kumi hayatasimamiwa na serikali ya Kaunti ya Nairobi. Tumemuuliza mchambizi wa siasa za Kenya Herman Manyora, hatua hiyo ni ya heri au shari kwa Kenya?

Sikiliza sauti 02:17