1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makubaliano ya pili ya kusitisha vita Sudan yaporomoka

Saumu Mwasimba
28 Aprili 2023

Katika Afrika Wiki hii tunaimulikia Sudan ambayo iko vitani licha ya kutangazwa kwa mara ya pili makubaliano ya kusitisha vita,maelfu waendelea kuikimbia nchi.Na nchini Kenya kadhia ya Shakahola bado yagonga vichwa vya habari idadi ya maiti yaongezeka. Na rais wa Rwanda Paul Kagame amaliza ziara yake nchini Tanzania. Kwa hayo na mengine mengi Jiunge na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4QggI