1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha ya vijana vijijini yakoje na wanakwendaje na wakati?

Rashid Chilumba17 Oktoba 2018

Katika makala ya Vijana Mchakamchaka, Rashid Chilumba anaangazia jinsi vijana waishio vijijini wanakwenda na wakati, iwe kimavazi, kiurembo, kiteknolojia, kimitindo na mengineyo. Bonyeza hapa usikilize.

https://p.dw.com/p/36fyW