Maisha katika madampo ya taka Kenya | Media Center | DW | 27.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maisha katika madampo ya taka Kenya

Kwa umri wa miaka 12 tu, Richie ndiye anahudumia familia yake. Anakusanya taka kwenye dampo la Dandora mjini Nairobi nchini Kenya. Nikazi ya hatari, kwa sababu dampo hilo - moja ya makubwa zaidi Afrika - linatawaliwa na magenge. Richie ana malengo ya kuwa rubani wa ndege. Kurunzi 27.02.2020.

Tazama vidio 02:43