Maisha katika eneo lililochafuliwa na mafuta | Mada zote | DW | 22.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mafuta ya Nigeria

Maisha katika eneo lililochafuliwa na mafuta

Nigeria ina hazina kubwa ya mafuta katika bara la Afrika ambayo husafirishwa duniani kote. Hata hivyo nchi hiyo haijaweza kuwaletea wakaazi wake hali bora ya maisha.