1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya Katiba DRC yaanza kesi ya uchaguzi

15 Januari 2019

Mahakama ya Kikatiba katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaanza kusikiliza ombi la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi kiongozi wa upinzani, Felix Tshisekedi, lililowasilishwa na mpinzani mwengine, Martin Fayulu. Kurunzi 15.01.2019

https://p.dw.com/p/3BZFO