1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maendeleo ya teknolojia kwa mwelekeo wa dijitali

Yusra Buwayhid
3 Juni 2019

Maendeleo ya kiteknolojia yamesaidia sekta tofauti kupiga hatua, kwa mfano mwelekeo wa utibabu nchini Ujerumani utakuwa ni wa kidijitali katika siku za mbele. Kazi kubwa itafanywa na kompyuta na daktari atakuwa msimamizi. Afrika, teknolojia kwa mara ya kwanza nchini Kenya imeweza kuwasaidia wafugaji wanatapatapa kutafuta maji kwa ajili ya mifug ya. Kusikia yote hayo, Ungana na Yusra Buwayhid.

https://p.dw.com/p/3Jf9w