1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhila yanayowakumba watoto wa mitaani mjini Goma

14 Mei 2021

Watoto wa mitaani mjini Goma,jimboni Kivu ya Kaskazini maarufu ''Mayibobo'' wanadai kutoroka makwao kwa sababu ya dhulma kutoka kwa familia. Lakini vita na umasikini ni changamoto pia kwa vijana hao.

https://p.dw.com/p/3tPh3