1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mateso anayoyapitia Abdallah Ramadhani baada ya ajali

18 Agosti 2019

Makala ya mbiu ya mnyonge inaangazia maisha ya kijana Abdalah Ramadhani Sizya mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa jijini Arusha ambaye amekuwa hawezi kunyanyuka kitandani kwa kipindi cha miaka 10 baada ya kugongwa na gari alipokuwa akiendesha pikipiki. Ungana na Veronica Natalis, akiwa Arusha, Tanzania.

https://p.dw.com/p/3O5Lf