1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Machungu ya ajali ya Sachangwan miaka 11 baadaye

Wakio Mbogho12 Machi 2020

Mwaka 2009, watu 277 walifariki katika ajali ya moto iliyotokea kwenye gari la kubebea mafuta lililowaka moto katika kaunti ya Nakuru nchini Kenya. Miaka 11 baadaye, wahanga na watu waliopoteza ndugu wa karibu bado wanapata mateso, ikiwemo kubaguliwa na kutokujaliwa na serikali.

https://p.dw.com/p/3ZGrV